DRC

Waziri wa maendeleo ya vijiji MUHINDO NZANGI Butondo ahaidi wa Congo kuwa atatekeleza majukumu yake na kusukuma Gurudu la Mandeleo ya taifa

JUNI 20, 2024
Border
news image

Akizungumuza na wafanya wake kwa mara ya kwanza Waziri wa maendelea Vijiji katika serikali yake Felix Tshisekedi asema kwa sasa amepewa nafasi nzuri kwani mwenyewe ni mwana vijiji na amekuwa muda mrefu katika kilimo na mtoto wa vijijini.

Nzangi amesema kwa sasa ni dereva wa miradi ya maendeleo na hivi karibuni mwendo kasi utaanza ,pamoja na kushukuru walio mteua kuwa waziri wa maendeleo vijiji .Congo ina misitu na shamba ambazo bado changa na wananchi wengi wana vijiji wakiwa wakulima.

Chakula kwa raia wa Congo nyingi hutoka njee ya inchi swala ambalo waziri huyo amesema atabadilisha mwendo na raia wa DRC wenye kutumia vyakula wanavyo lima wenyewe.

Nzangi alisema Natumaini sita wakosea nyote .” Nilisoma Maendeleo Vijijini, nilizaliwa kijijini, nilikulia kijijini, mimi ni mkulima. Kwa hiyo mimi ni muwenyeji maendeleo vijijini. Kwa pamoja, mimi na nyinyi, tutapata suluhisho kwa shida mbali mbali zinazo husu maendeleo ya taifa letu tukifata maelekeo ya mkuu wa taifa.

AM/MTV News DRC